Numbers 17:7-8

7 aMusa akaziweka hizo fimbo mbele za Bwana ndani ya Hema la Ushuhuda.

8 bSiku iliyofuata Musa aliingia kwenye Hema la Ushuhuda akaona ile fimbo ya Haruni ambayo iliwakilisha jamaa ya Lawi haikuwa tu imechipuka, bali pia ilikuwa imetoa machipukizi, kuchanua maua na kuzaa malozi.
Copyright information for SwhKC